Swrikali ya awamu ya Sita, imetenga kiasi cha shilingi bilioni 1.2 kwa ajili ya kujenga mradi wa kimkakati wilayani Liwale, kama sehemu ya kitega uchumi cha kukuza mapato ya halmashauri hiyo. Hatua hiyo imetajwa kama jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuziongezea halmashauri uwezo wa kuvutia uwekezaji na kutanua wigo wa ukusanyaji wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewajumuisha kwenye mpango wa taifa, watu wanaotambulika kuwa kwenye makundi maalum juu ya upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa kwa makundi hayo. Utaratibu wa kusajili na kuwatambua watu waliopo katika makundi ikiwemo wafungwa na mahabusu ni kupitia maombi maalum kutoka kwa wakuu wa Gereza katika wilaya husika. Utaratibu wa
The European Union (EU) has organized a special session titled “Growth and Access to EU Funds” to enable Tanzanian entrepreneurs to take advantage of financial opportunities under the Global Gateway strategy. ▪️Funding Agreements Signed Several funding agreements were signed between European Development Banks and Tanzanian banks (NMB, CRDB, and KCB) to enhance lending capacity for
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, leo ametoa mchango wake Bungeni huku akisifu hatua za Serikali kupitia Wizara ya Kilimo kutaka kubadili Sheria ya Sukari. Musukuma amesema moja ya kazi kuu za Bunge ni kutunga na kubadilisha sheria, hivyo ni muda muafaka sasa kwa serikali kufanya mabadiliko kwenye Sheria ya Sukari kwani tatizo la sukari
Taarifa iliyotolewa mchana wa leo na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu juu ya ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhudhuria uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mh. Cyril Ramaphosa, utakaofanyika tarehe 19 Juni 2024, inatajwa kama sehemu ya kudumisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili. Historia ya mahusiano kati ya Tanzania na
U.S. Ambassador to Tanzania, Michael Battle, expressed his admiration for President Samia Suluhu Hassan’s recent call for the media to investigate and publish any findings of corruption in the upcoming elections. Speaking at the Second National Media Sector Development Conference, Ambassador Battle emphasized the critical role of the media in informing the public and holding
The Bank of Tanzania’s May 2024 report, released few days ago, shows the tourism sector is “unstoppable” as it continues to break records for the number of foreign tourists flocking to the country and revenue, as follows: Tourists Continue to Pour In: The BoT report shows that during the traditionally “low season” months of March
Temeke Regional Referral Hospital (TRRH) has officially started offering dialysis services today, marking the first time this specialized treatment is available at the hospital. This service will cater to residents with kidney issues. Speaking to the press, the hospital’s Chief Medical Officer, Dr. Joseph Kimaro, confirmed the launch of the service, describing it as a
Tanzania’s economy is forecast to grow even faster this year than in 2023, Kitila Mkumbo, minister of state in the president’s Office for Planning and Investment, said on Thursday. Mkumbo told parliament that the economy was projected to grow 5.4% this year from 5.1% in 2023, which was faster than the 4.7% a year earlier.
The Road Agency “TANROADS” in Kagera region oversees a network of roads totaling 1,966.29 kilometers. This includes 861.59 kilometers of main roads, 1,053.75 kilometers of regional roads, and 50.95 kilometers of district roads. This was explained by the Manager of the Tanzania Roads Agency (TANROADS), Engineer Ntuli John Mwaikokesya, after a two-day working visit to
The economic report for the year 2023 and the national development plan for 2024/25 have identified the livestock sector as a crucial area of focus due to its significant growth potential. The report largely attributes this progress to the exceptional efforts of President Samia Suluhu Hassan in creating an environment conducive to investment through inclusive
Kupitia juhudi za Serikali ya awamu ya Sita za kuendeleza sekta ya kilimo, Tanzania imepata mafanikio makubwa katika utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa taifa. Mafanikio haya yametokana na juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ambaye ameweka msukumo mkubwa katika uwekezaji wa rasilimali fedha na kuinua uwezo wa
The Deputy Prime Minister and Minister of Energy, Hon. Dr. Doto Biteko, has met with the Deputy Minister of Energy of the United States, Hon. David Turk, to discuss various issues including investment in the energy sector in Tanzania. The meeting took place on June 12, 2024, in Dar es Salaam and highlighted several areas
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuongeza idadi ya walimu nchini kwa mwaka huu wa fedha wa 2023/2024. Lengo la Serikali mbali na kupandisha ubora wa elimu, ni kuhakikisha kunakuwa na uwiano mzuri wa mgawanyo wa walimu kwa mikoa yote, kwa kuzingatia mahitaji mahsusi ya kila mkoa. Akitolea ufafanuzi swali la Mh. Juliana
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea na juhudi zake za kudumisha mahusiano mema kati ya hifadhi, Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia TANAPA na jamii mkoani Mbeya. Azma ya Serikali ni kumaliza migogoro iliyodumu kwa muda mrefu kati ya wananchi wa mikoa mbalimbali na taasisi za TANAPA na TFS. Juhudi za Serikali Kupitia