Tanzanians are increasingly recognizing the government’s efforts in economic management, with a new Afrobarometer survey revealing that 67% of citizens approve of the administration’s performance in handling the economy. While public perception of economic conditions has improved, financial hardships and basic service gaps remain pressing issues for many. Improved Economic Perception The Afrobarometer 2024 survey,
Cashew-nut farmers have earned a total of Sh879.699 billion in the past seven weeks, courtesy of an improved trading environment, which includes designation of Mtwara Port as the export gateway for the crop. Speaking when Mtwara Regional Commissioner Patrick Sawala visited the port, Cashewnut Board of Tanzania (CBT) director general Francis Alfred said the 2024/2025
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Zanzibar, Mhe. Shaaban Ali Othman ameshiriki Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Ndogo za Jumuiya ya Madola (Commonwealth Small States Ministerial). Katika mkutano huo Tanzania ilichangia mjadala wa Mawaziri kuhusu umuhimu wa kushughulikia changamoto za kiuchumi zinazosababishwa na mabadiliko ya tabianchi kwa nchi hizo ndogo ili kuziwezesha kunufaika na
The Tazara rail line connecting Zambian copper belt with port of Dar es Salaam will be updated through public-private partnership and compete with US- and EU-backed link between resource-rich areas and Angola’s Atlantic coast. As global powers vie for control over critical mineral trade routes, China plans to spend US$1 billion to refurbish a key
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ni miongoni mwa viongozi wakuu waliohudhuria tukio muhimu katika Ikulu ya Nairobi, ambapo Rais wa Kenya, William Ruto, alimuidhinisha rasmi Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga kwa nafasi ya Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Kenya imeweka nafasi ya Bw. Odinga kama mwakilishi wa maslahi ya Jumuiya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa watendaji wa Serikali yake kuhakikisha huduma zote za kijamii zilizositishwa zikiwemo za afya na shule katika Tarafa ya Ngorongoro Mkoani Arusha zinarudishwa na kuboreshwa haraka iwezekanvyo. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda ameagizwa kusimamia zoezi hilo la kuhakikisha
Wanaharakati na asasi za kuwatetea watu walioathirika kwa kupigwa kutokana na kuvamia mgodi wa Nyamongo wametupiwa lawama na waathirika hao kwa kujinufaisha wenyewe kupitia maswaibu ya waathirika kwa kujipatia kiasi kikubwa cha fidia inayotolewa na mgodi ikilinganishwa na kiasi wanachopata waathirika. Mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa kwa ubia kati ya kampuni ya Barrick
Dar Es Salaam – DP World’s involvement in transforming port operations at Dar Es Salaam has yielded remarkable results. The ongoing optimization and enhancement efforts have brought about: The strides made by DP World have been instrumental in these achievements. Under the leadership of President Samia Suluhu Hassan, the government remains dedicated to elevating Dar
In a landmark event for Tanzania’s agricultural sector, President Samia Suluhu has officially inaugurated the country’s largest irrigation dam at the Mtibwa Sugar plantation in Morogoro. This monumental project is set to play a critical role in alleviating Tanzania’s sugar shortages by significantly boosting local production capacity. The newly opened dam, which covers an area
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msisitizo kwa viongozi wa umma, kuwathamini na kuwaheshimu wananchi. Rais Dkt. Samia ameyasema hayo leo tarehe 26 Julai 2024 Ikulu jijini Dar es salaam alipokuwa akiwaapisha wateule wake wa nafasi mbalimbali kwenye Serikali yake. Rais Dkt. Samia amewataka viongozi wote wa umma
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) – Mwenge – Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5. Pia, ujenzi wa miundombinu ya Mabasi hayo
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameeleza kuwa kuwa kati ya vijiji 12,000 nchi nzima, ni vijiji 151 tu ambavyo bado havijaunganishwa na huduma ya umeme. Kupitia ziara yake mkoani Njombe ya kukagua miradi ya nishati pamoja na kasi ya usambazaji wa umeme katika vijiji vya Lubonde na Maweni, Mhe. Kapinga amesema lengo la
For nearly two years, the initiative to resettle residents living within the Ngorongoro Conservation Area (NCA) has been underway, with residents voluntarily choosing to move to Msomera village in Handeni district, Tanga region, or other selected locations. This process is spearheaded by the Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), which begins by educating the public about
The inauguration of the Sumbawanga-Matai-Kasanga road in Rukwa region marks a significant step in Tanzania’s strategic economic growth and competitiveness in regional trade. Under the leadership of President Dr. Samia Suluhu Hassan, who officially opened the road on July 16, 2024, the Sixth Phase Government is focused on aligning critical infrastructure to attract both domestic
President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Samia Suluhu Hassan, exemplifies the notion of public service as a trust from the people, for the people, and implemented by those with patriotic hearts. Through her strategic development initiatives that directly involve citizens, President Dr. Samia Suluhu Hassan has shown a strong commitment to bringing