Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Mhe. Zainab Katimba, amesema kabla ya kukamilika kwa mwaka wa fedha 2023/24, Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni moja kwa kila shule mpya 16 za bweni za wasichana zilizojengwa ili kukamilisha miundombinu iliyosalia. Fedha za Kukamilisha MiundombinuMhe. Katimba alitoa taarifa hiyo bungeni jijini Dodoma katika kipindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuweka historia ya kuwa Rais mwenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Kuelekea mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kucheza kombe la dunia, Rais Dkt. Samia Suluhu alitoa ahadi nono ya milioni 100 kwa wachezaji wa Taifa Stars, kama wangeshinda mchezo huo.
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kupitia kampuni tanzu ya STAMIGOLD, limewasilisha mpango wa uwekezaji wa kampuni hiyo kuhusu uendelezaji wa miradi ya madini kwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, jijini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Deusdedith Magala, amesema kuwa tangu kuanza uzalishaji hadi Machi 2024, mgodi umezalisha na kuuza jumla
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonyesha hali ya kufurahishwa na ukuaji wa michango ya Mashirika na Taasisi za Umma kupitia magawio waliyotoa kwa Serikali leo jijini Dar es Salaam. Mashirika na Taasisi za Umma Kutoa Gawio Akihutubia umma wa Watanzania kupitia viongozi mbalimbali wa Serikali, Rais Samia ameridhia ombi
Waziri wa fedha Mh. Dkt. Mwigulu Nchemba ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeshahakiki na kulipa madeni ya wazabuni wa bidhaa na huduma pamoja na wakandarasi. Akitolea ufafanuzi jambo hilo, Waziri wa fedha alibainisha kuwa, kufikia Machi 2024, Serikali ilikuwa inadaiwa jumla ya shilingi bilioni 1,033.01
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetumia kiasi cha shilingi bilioni 5.4 kugharamia ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwa ajili ya jengo la huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Kanda Mbeya. Uwekezaji huo mkubwa na wa kipekee kuwahi kufanywa na Serikali mkoani humo, umeangazia kuwasogezea karibu wananchi, huduma bora na za
Aliyekuwa kiongozi mkuu wa chama cha ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe amevitaka vyama vyote vya siasa nchini kuendana na mahitaji na muelekeo wa Taifa pindi vinapotengeneza ilani za uchaguzi. Akichangia kama mmoja wa jopo la watoa mada wakuu kwenye Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Zitto alionya juu ya mpishano
Minister for Natural Resources and Tourism, Ms. Angellah Kairuki, has attributed the recent surge in tourist numbers to ongoing efforts to promote Tanzania’s attractions. She highlighted President Dr. Samia Suluhu Hassan’s leadership, noting that initiatives like the TanzaniaRoyal Tour and the “Amazing Tanzania” film in Beijing have significantly boosted international arrivals. Speaking at the Karibu-Kilifair
The Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) has unveiled an ambitious plan to significantly increase the country’s oil storage capacity. Under the leadership of President H.E. Samia Suluhu Hassan, this strategic initiative aims to ensure Tanzania maintains adequate oil reserves, shielding local consumers from the impact of global market fluctuations. As part of the project, TPDC
Katika utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, serikali imesema zaidi ya bilioni 80 zimetumika kusambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali mkoani Singida.Akizungumza na wananchi, Naibu waziri wa Nishati, Mh. Judith Kapinga ameeleza kuwa lengo la Serikali ya awamu ya Sita ni kuhakikidha inasambaza umeme kwenye vijiji na Vitongoji vyote. Naibu Waziri Kapinga amesema kwa mwaka
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimeingia makubaliano na kusaini mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 163.6 sawa na Tsh 427.8bn/- kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Binguni, iliyopo Zanzibar pamoja na kituo cha mafunzo ya utabibu. Mkataba wa mkopo
Ukijivika mabomu, usiogope kulipuka. Ni sawa na machalii wa Arusha wanavyotusisitiza tusiwe na moja kwenye mbili!! Ukishaamua kufanya uamuzi, kaa nao. Uwe mzuri au mbaya ishi nao. Kufikia nusu ya msimu ulioisha, klabu kadhaa za Ligi Kuu ya Tanzania NBC zilichukua maamuzi ya kubadili sura kwenye mabenchi yao ya ufundi. Kwa bahati mbaya huwa hatuwekewi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameingia katika vitabu vya kumbukumbu za historia kwa mchango wake kwenye sekta ya utalii nchini. Ikumbukwe kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani kwenye kipindi ambacho dunia nzima ilikua inapitia katika hali ngumu ya mdororo wa kiuchumi uliochagizwa na janga la uviko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kudhihirisha ushawishi wake mkubwa kwenye anga za kimataifa, baada ya kufanikiwa kuingia makubaliano maalum na Rais wa Jamhuri ya Korea Yoon Suk Yeol juu ya ushirikiano kwenye usambazaji wa madini ya kimkakati. Makubaliano hayo yanalenga kugusa nyanja za utafiti, uwekezaji, uchimbaji na kuijengea
Msimu wa Ligi Kuu ya soka Tanzania bara 2023/2024 umetamatika rasmi kwa Klabu ya Yanga ya Dar es salaam kutwaa ubingwa wa ligi hiyo. Katika hali nyingine isiyozoeleka, Klabu ya Azam ya jijini Dar es salaam imekamata nafasi ya pili mbele ya klabu kongwe nchini Simba S.C. Kivutio kingine msimu wa 2023/2024 kilikuwa ni Klabu