728 x 90
  • Ziara ya Rais Samia Katavi, matumaini mapya na ari mpya ya maendeleo.

    Ziara ya Rais Samia Katavi, matumaini mapya na ari mpya ya maendeleo.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Katavi kuanzia tarehe 12 mpaka 15 ya mwezi huu wa 7. Ziara hiyo iliyotangazwa na Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu, itaangazia mambo mbalimbali ikiwemo ukaguzi wa miradi mbalimbali ambayo Serikali ya awamu ya Sita (6) imeitolea mafungu

  • The U.S. And Tanzania, Working Together to Fight Illegal Fishing.

    The U.S. And Tanzania, Working Together to Fight Illegal Fishing.

    Story by ADF Magazine Tanzania’s fishing sector is a cornerstone of the nation’s economy. Boat builders, fishers and fish processors, wholesalers, and restaurants all rely on the bounty of the Indian Ocean. In fact, about one-quarter of Tanzania’s population depends on fishing for economic reasons and for food. The industry employs more than 4 million

  • Tanzania Shores Up Foreign Exchange Reserves as Economic Outlook Brightens.

    Tanzania Shores Up Foreign Exchange Reserves as Economic Outlook Brightens.

    Tanzania Shores Up Foreign Exchange Reserves as Economic Outlook Brightens A recent statement by the Bank of Tanzania (BoT) brought a wave of optimism, highlighting the strengthening of the country’s foreign exchange reserves.  Surpassing $5 billion at the end of June 2024, these reserves mark a significant improvement and provide a buffer exceeding four months

  • Jitihada za Rais Samia Suluhu kuboresha ustawi wa jamii wa watu wa makundi maalumu.

    Jitihada za Rais Samia Suluhu kuboresha ustawi wa jamii wa watu wa makundi maalumu.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama kinara wa mabadiliko chanya kwa jamii ya watu wanaohesabika kuwa katika makundi maalum. Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuimarisha huduma za ustawi wa jamii kwa makundi maalumu. Hadi kufikia mwezi Machi, 2024, Serikali ya awamu ya Sita chini ya

  • Rais Samia Suluhu aongoza juhudi za kuinua kaya masikini nchini.

    Rais Samia Suluhu aongoza juhudi za kuinua kaya masikini nchini.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehakikisha kipaumbele cha ukuzaji wa uchumi na kupunguza umasikini wa kipato kwa kaya duni, kinaendelea kuwa msingi mkuu wa uongozi wake, katika kuinua hali ya wananchi masikini nchini. Rais Dkt. Samia ameendelea kuusimamia kikamilifu Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuinua ubora wa