728 x 90
  • Serikali kukamilisha mradi wa majitaka Arusha.

    Serikali kukamilisha mradi wa majitaka Arusha.

    Naibu Waziri wa Maji, Mh. Mhandisi Kundo Mathew ameliambia Bunge jijini Dodoma kuwa, Serikali kupitia Mamlaka ya Maji na Usafi wa mazingira Arusha (AUWSA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa miundombinu ya uondoshaji majitaka wa Olmoti utakaonufaisha Kiwanda cha A to Z pamoja na wakazi 1,200 wa maeneo hayo. Naibu Waziri, Mhandisi Mathew,

  • Serikali kutekeleza mradi wa maji Ziwa Victoria kutoka Butiama hadi Bunda.

    Serikali kutekeleza mradi wa maji Ziwa Victoria kutoka Butiama hadi Bunda.

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kukamilisha mradi wa maji ya Ziwa Victoria kutoka Butiama kwenda Nyamuswa – Bunda. Naibu Waziri wa Maji, Mh. Mhandisi Kundo Mathew ameyaeleza hayo Bungeni jijini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa jimbo la Bunda, Mh. Boniphace Mwita Getere, aliyeuliza

  • Wazalishaji wa mafuta waipongeza serikali ya Rais Samia kuondoa VAT.

    Wazalishaji wa mafuta waipongeza serikali ya Rais Samia kuondoa VAT.

    Katika hali ya kuonyesha kuridhishwa na uwezeshaji unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Chama cha wasindikaji wa mafuta ya kula ya alizeti Tanzania (TASUPA), kimesema kitendo cha Serikali kuondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa wazalishaji wa ndani, itachochea ongezeko la ulimaji wa alizeti

  • Serikali ya Rais Samia yaongeza kasi ununuzi wa vifaa tiba.

    Serikali ya Rais Samia yaongeza kasi ununuzi wa vifaa tiba.

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwenye zahati, vituo vya afya na halmashauri mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa leo bungeni jijini Dodoma, na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mh. Zainab Katimba wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum,

  • Serikali yakamilisha ujenzi wa kituo cha Mtwara vijijini.

    Serikali yakamilisha ujenzi wa kituo cha Mtwara vijijini.

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuhakikisha inafikisha huduma za afya kwa wananchi wake wa mijini na vijijini. Akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mh. Shamsia Azizi Mtamba, aliyetaka kujua ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa kituo cha afya mkunwa- Mtwara vijijini, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI,

  • Serikali kujenga Karakana na Mabweni Kitangali.

    Serikali kujenga Karakana na Mabweni Kitangali.

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarisha miundombinu ya Chuo cha VETA Kitangali mwaka hadi mwaka ambapo jengo jipya la utawala lilijengwa na kukarabati baadhi ya majengo ili kupata karakana mbili za ushonaji na umeme, darasa pamoja na bweni. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia

  • Serikali ya Rais Samia yajipanga kujenga zaidi viwanda vya nyama.

    Serikali ya Rais Samia yajipanga kujenga zaidi viwanda vya nyama.

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha viwanda vya kuchinja, kuchana na kusindika mifugo, vyenye ubora wa kimataifa vinajengwa nchini. Maelezo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mh. Alexander P. Mnyeti bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la mbunge wa

  • Je, Serikali inafanya nini kuilinda jamii dhidi ya athari hasi za michezo ya kubahatisha (Kamari)?

    Je, Serikali inafanya nini kuilinda jamii dhidi ya athari hasi za michezo ya kubahatisha (Kamari)?

    Naibu Waziri wa Fedha Mh. Hamad Chande ameliambia Bunge kuwa, pamoja na faida za kiuchumi zinazotokana na michezo ya kubahatisha, Serikali inatambua athari hasi katika jamii endapo michezo hiyo haitaendeshwa kwa weledi. Mh. Chande ameyasema hayo alipokuwa akilitolea maelezo swali la Mh. Ng’wasi Damas Kamani aliyetaka kujua, Serikali ina mkakati gani wa kupambana na uraibu

  • Calls to Extend President Mwinyi’s Term Are Unconstitutional.

    Calls to Extend President Mwinyi’s Term Are Unconstitutional.

    The Revolutionary Government of Zanzibar has affirmed that President Dr. Hussein Mwinyi will continue to respect the established procedure of electing a President every five years and urges all individuals with differing opinions to close this discussion. This statement, released by the Presidential Communication Department, follows recent suggestions proposing that President Mwinyi should be granted

  • Kasi ya Ugawaji Vitambulisho vya NIDA yaongezeka.

    Kasi ya Ugawaji Vitambulisho vya NIDA yaongezeka.

    Kasi ya upatikanaji wa vitambulisho vya nida imezidi kuongezeka kwa kiasi kikubwa kutokana na msukumo wa Serikali ya awamu ya Sita. Akijibu swali la mbunge wa Moshi Mjini, Mh. Priscus Tarimo, aliyetaka kufahamu Serikali ina mpango gani wa kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa unaokwenda taratibu sana, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani

  • CCM Zanzibar Proposes Seven-Year Term for Dr. Mwinyi.

    CCM Zanzibar Proposes Seven-Year Term for Dr. Mwinyi.

    Members of the Secretariat of the Special Committee of Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar have approved a proposal to advise the Special Committee to endorse an extension of Zanzibar President Dr. Hussein Mwinyi’s first term to seven years instead of five. Speaking, the Deputy Secretary General of CCM Zanzibar, Dr. Mohamed Dimwa, stated that this

  • Embalo’s visit an outcome of President Samia’s Diplomatic Approach

    Embalo’s visit an outcome of President Samia’s Diplomatic Approach

    Guinea-Bissau’s President visit to Tanzania serves to indicate an intense approach towards implementation of active engagement on south-south relations. Tanzania had adopted an economic diplomacy policy as their strategic tool to guide their relarions with other countries. President Umaro Sissoco Embalo and her host President Suluhu have both embarked in pathways which signal on utilizing

  • USD Milioni 39 Kujenga Kituo cha Kupooza Umeme Dumila.

    USD Milioni 39 Kujenga Kituo cha Kupooza Umeme Dumila.

    Naibu Waziri wa Nishati Mh. Judith Kapinga amelieleza bunge, jijini Dodoma kuwa gharama za mradi wa kujenga kituo cha kupooza umeme kitakachojengwa Dumila kitagharimu dola za Marekani milioni 39. Maelezo hayo ameyatoa alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Kilosa, Mh. Palamagamba Kabudi aliyeuliza ni lini Serikali itajenga sub-station ya umeme katika eneo la Dumila-Kilosa. Naibu

  • Serikali Kuendelea Kutoa Ruzuku Ya Mbolea Kwa Wakulima Nchi Nzima.

    Serikali Kuendelea Kutoa Ruzuku Ya Mbolea Kwa Wakulima Nchi Nzima.

    Naibu Waziri wa kilimo Mh. David Silinde ametoa msimamo wa Serikali kuhusiana na mikakati ya Serikali kukabiliana na ongezeko la bei ya pembejeo nchini. Mh. Silinde amesema azma ya Serikali ni kuendelea kufanya jitihada za makusudi kuhamasisha kilimo chenye tija nchini kwa madhumuni ya kukuza uchumi wa nchi na kuboresha vipato vya wananchi. Akijibu swali

  • SGR yanukia Mtwara – Mbamba Bay.

    SGR yanukia Mtwara – Mbamba Bay.

    Serikali ya awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kujenga reli ya mwendokasi ya Mtwara hadi Mbamba bay. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mh. David Kihenzile bungeni jijini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum Mh. Jacqueline Msongezi lililokuwa linataka kujua