728 x 90
  • Mexico has a new president-elect. The first ever woman to win the national presidency.

    Mexico has a new president-elect. The first ever woman to win the national presidency.

    Remember the name Claudia Sheinbaum. The newly elected president of Mexico. An outstanding character with a clean record of public service and an ambitious plan to rejuvenate the nation. The 62-year-old, has expressed a desire to bring in sweeping changes in an attempt to awaken the country that has witnessed a sharp decline in its

  • Rais Samia atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima nchini Korea.

    Rais Samia atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima nchini Korea.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari nchini Korea. Shahada hiyo ni sehemu ya kutambua mchango mkubwa wakuiinua sekta ya anga nchini Tanzania ulifanywa na Dkt. Samia suluhu Hassan. Rais Samia amepongezwa kwa kazi kubwa iliyotukuka anayoifanya tokea aliposhika hatamu ya uongozi wa taifa

  • Sekali ya mseto yanukia Afrika Kusini.

    Sekali ya mseto yanukia Afrika Kusini.

    Kwa mara ya kwanza tokea ipate uhuru wake, nchi ya Afrika kusini imeshindwa kupata mshindi wa moja kwa moja kwenye uchaguzi wa serikali kuu na serikali za majimbo. Chama tawala cha ANC kinachoongozwa na rais Ramaphosa kimepoteza viti vingi vya ubunge ambavyo vimenyakuliwa na vyama vya upinzani vya Democratic Aliance, uMkhonto we Sizwe na Economic

  • Yanga yatwaa ubingwa wa CRDB Confederation Cup.

    Yanga yatwaa ubingwa wa CRDB Confederation Cup.

    Mabingwa wa ligi kuu nchini Tanzania, yanga afrika, wameibwaga klabu ya azam ya jijini Dar es salaam katika fainali ya kombe la fa iliyofanyika jana Zanzibar. Fainali hiyo iliyokuwa ya kukata na shoka huku kila timu ikionyesha ubora wa hali ya juu iliamuliwa kwa matuta ya penati baada ya muda wa kawaida wa dakika tisini

  • Rais Samia anavyotumia Diplomasia ya Uchumi kukuza uchumi wa Tanzania.

    Rais Samia anavyotumia Diplomasia ya Uchumi kukuza uchumi wa Tanzania.

    Nadharia za uongozi na falsafa za kiutawala duniani kote zinaangazia zaidi kutafuta majibu ya changamoto zinazowakabili raia, lakini zaidi kufungua fursa mbalimbali za nyanja tofauti tofauti kwa watu. Moja kati ya nguzo muhimu za utawala wa kiinchi, duniani kote ni pamoja na mashirikiano na nchi nyingine na washirika mbalimbali wasiobeba sifa za kiinchi kama mashirika

  • Marekani yamwekea vikwazo Spika wa Bunge la Uganda na mumewe.

    Marekani yamwekea vikwazo Spika wa Bunge la Uganda na mumewe.

    Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa Uganda, akiwemo Spika wa Bunge la nchi hiyo, Anita Among, mumewe na Naibu Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi kutoingia nchini humo kwa tuhuma za ufisadi na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, imesema kuwa Spika Among amewekewa