Ujio wa Rais wa Msumbiji Mh. Felipe Jacinto Nyusi hapa nchini ni kiashiria kingine cha ufanisi wa mpango kazi wa Tanzania katika kushirikiana na mataifa mengine kisiasa, kiuchumi, kijamii na nyanja nyingine mbalimbali zenye tija na maslahi kwa Taifa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea na kasi yake
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, wamemshukuru na kumpongeza Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapandisha madaraja kila baada ya miaka 4 kwa waajiriwa wapya na kwa kila baada ya miaka mitatu kwa walioko kazini. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na mwandishi wa Habari hizi na kupitia grupu la
Hakuna nchi katika historia ya ulimwengu iliyowahi ama kujitegemea au kujitosheleza kwa mahitaji yake. Hivyo, nyenzo ya ushirikiano ni muhimu kwa mataifa yote ili kuhakikisha mahitaji ya msingi ya watu wake yanatimizwa hata ikibidi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana nje ya nchi husika. Mkakati mkubwa wa Tanzania katika kutimiza malengo iliyojiwekea ni diplomasia ya uchumi. Mkakati
Last weeks presidential debate in US proved to be a pivotal moment, that sparked fears across US democrats, but equally important shockwaves among global US allies. Chief among the many fears is of another Trump presidency, which is expected to cast doubt and more worries into the collectivism theory of approaching globalissues. Former President Trump
Usajili wa kiungo wa kimataifa wa Zambia, Clatous Chota Chama, uliotangazwa na Yanga, unatazamiwa kuiongezea nguvu Klabu hiyo kwenye michuano ya kimataifa ya klabu bingwa ya Afrika. Chama aliyemaliza mkataba na mahasimu wa Yanga, Simba, anjiunga na kikosi cha Yanga ambacho kilionyesha ubora mkubwa kwenye mashindano ya klabu bingwa barani Afrika msimu uliopita. Kwa ubora
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA ametangazwa kuhamia Chama Cha Mapinduzi baada ya miaka mingi ya kuhudumu kama nguzo muhimu ya kambi ya upinzani. Kuhamia kwake Chama Cha Mapinduzi kunatafsiriwa kama pigo kuu kwa chama kilichotarajiwa kuchuana vikali na Chama Cha Mapinduzi katika chaguzi zjiazo za Serikali za Mitaa na baadae mwakani, Uchaguzi Mkuu.
The Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Kassim Majaliwa, announced that in the fiscal year 2024/2025, the Government has allocated TZS 787 billion for loans to 250,000 students, including 80,000 new undergraduate students. He made this statement on Friday, June 28, 2024, in Parliament in Dodoma while delivering a speech to adjourn the
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuwainua wanawake nchini kwa kudhamiria kutoa mashine za kubangua korosho kwa vikundi vya wanawake, ili kuwainua kiuchumi kwa kuwawezesha kuongeza thamani ya bidhaa zao. Kauli hiyo imetamkwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Kilimo, Mh. David Silinde alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Mh.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mh. David Silinde ameyasema hayo alipokuwa anajibu swali lililoulizwa na mbunge wa jimbo la Mbozi aliyeuliza ni lini Serikali itawachukulia hatua viongozi wa vyama vya msingi waliodhulumu fedha za wakulima wa kahawa Mbozi. Mh. Silinde amelieleza Bunge kuwa, tayari Serikali imeshafanya uchunguzi kwa vyama vya ushirika 20 vilivyopo wilayani Mbozi ambapo
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendeleza kasi yake ya kuboresha maslahi ya askari wa idara ya uhamiaji nchini, kama sehemu ya motisha ya kazi nzuri inayofanywa na askari wa idara hiyo muhimu kwa usalama wa nchi yetu. Kauli hiyo imetamkwa na Naibu Waziri wa Mambo ya
Serikali kupitia mapendekezo ya Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 inakusudia kuanzisha Tozo ya Maendeleo ya Viwanda kwa baadhi ya bidhaa zinzoingizwa nchini. Hatua hii itatumika kama mbinu ya ziada ya kuvilinda viwanda vya ndani dhidi ya ushindani usio sawa wa bidhaa zinazotoka nje na kwa jinsi hiyo kuchochea mauzo ya nje ya nchi. Serikali
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imependekeza kuweka tozo ya asilimia 10 kwenye mafuta ghafi ya kula ya alizeti na mashudu yanayotokana na mbegu za alizeti pamoja na mbegu za alizeti zinazosafirishwa kwenda nje ya Jamhuri ya Muungano. Lengo la mapendekezo haya ni kuhakikisha malighafi hizo zinapatikana kwa wingi nchini ili kuzalisha mafuta ya
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetaja mikakati mbalimbali inayolenga kutokomeza ukatili dhidi ya watoto hapa nchini. Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mh. Mwanaidi Khamis ameyasema hayo alipokuwa akijibu swali la mbunge wa jimbo la Wingwi, Mh. Omaari Issa Kombo aliyetaka kufahamu Serikali ina mikakati gani
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kumaliza mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Mpanga Kipengele na Vijiji vya Luduga, Mpanga, Malingali na Wangamiko. Hayo yamesemwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dunstan Kitandula, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Mh. Neema William Mgaya, aliyeuliza ni
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kumaliza mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Mpanga Kipengele na Vijiji vya Luduga, Mpanga, Malingali na Wangamiko. Hayo yamesemwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dunstan Kitandula, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Mh. Neema William Mgaya, aliyeuliza ni