Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kutimiza ahadi zilizotolewa kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, ya kutoa kipaumbele kwa sekta ya afya nchini. Kasi ya ujenzi wa hospitali za rufaa, hospitali za wilaya, zahati na vituo vya afya nchini imeongezeka kwa kasi kubwa ndani ya miaka hii mitatu
President Samia emphasized that citizens must not export maize without permits from the Ministry of Agriculture and following other required procedures, as it negatively impacts the economy and market trade. She made these remarks during the inauguration of modern silos and warehouses of the National Food Reserve Agency (NFRA) in Kanondo, Rukwa Region, as part
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Chuo cha Veta Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Uwekaji wa jiwe la msingi katika chuo hicho ni alama ya ushindi kwa vijana wa Tanzania, unaotoa tumaini jipya la ukombozi wa
Ubora wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan unadhihirishwa na matokeo ya wazi ya mabadilliko anayoyafanya, katika jitihada za kuboresha maisha ya watanzania. Kupitia ziara yake mkoani Katavi, imefahamika kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza tokea nchi ya Tanzania ipate uhuru, kufikisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiongoza Serikali yake ya awamu ya Sita, kufanya mageuzi makubwa kwa sekta ya mifugo, na kuifanya sekta hiyo kuwa na tija kubwa kwa ustawi wa Taifa kupitia ukuaji wa mchango wake kwa pato la Taifa. Hamasa iliyotolewa na Rais Dkt. Samia imehusisha kutoa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Katavi kuanzia tarehe 12 mpaka 15 ya mwezi huu wa 7. Ziara hiyo iliyotangazwa na Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu, itaangazia mambo mbalimbali ikiwemo ukaguzi wa miradi mbalimbali ambayo Serikali ya awamu ya Sita (6) imeitolea mafungu
Story by ADF Magazine Tanzania’s fishing sector is a cornerstone of the nation’s economy. Boat builders, fishers and fish processors, wholesalers, and restaurants all rely on the bounty of the Indian Ocean. In fact, about one-quarter of Tanzania’s population depends on fishing for economic reasons and for food. The industry employs more than 4 million
Tanzania Shores Up Foreign Exchange Reserves as Economic Outlook Brightens A recent statement by the Bank of Tanzania (BoT) brought a wave of optimism, highlighting the strengthening of the country’s foreign exchange reserves. Surpassing $5 billion at the end of June 2024, these reserves mark a significant improvement and provide a buffer exceeding four months
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama kinara wa mabadiliko chanya kwa jamii ya watu wanaohesabika kuwa katika makundi maalum. Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuimarisha huduma za ustawi wa jamii kwa makundi maalumu. Hadi kufikia mwezi Machi, 2024, Serikali ya awamu ya Sita chini ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehakikisha kipaumbele cha ukuzaji wa uchumi na kupunguza umasikini wa kipato kwa kaya duni, kinaendelea kuwa msingi mkuu wa uongozi wake, katika kuinua hali ya wananchi masikini nchini. Rais Dkt. Samia ameendelea kuusimamia kikamilifu Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuinua ubora wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza uwajibikaji na ushirikiano baina ya viongozi wa ngazi mbalimbali Serikalini ili kuboresha utendaji na kuwa na matokeo mazuri katika kuwahudumia wananchi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyasema hayo visiwani Zanzibar, kwenye Ikulu ndogo ya Tunguu, alipokuwa akiapisha viongozi aliowateua karibuni. Azma ya
Serikali ya awamu ya Sita, ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kutekeleza majukumu yake, kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), ya kuchukua hatua stahiki za kuzuia na kupambana na rushwa. Hatua ambazo Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imezichukua ni pamoja na kuzuia
Aziz Rashid. Tanzania, known for its breathtaking landscapes and diverse agriculture, has quietly become a major player in the global cashew game. The crop is proving to be a powerful driver of the nation’s economy, offering a promising path forward for both farmers and the country itself. 𝗔 𝗗𝗲𝗰𝗮𝗱𝗲 𝗼𝗳 𝗦𝘁𝗲𝗮𝗱𝘆 𝗛𝗮𝗿𝘃𝗲𝘀𝘁 Over the past
The World Travel & Tourism Council (WTTC), a global authority representing the travel and tourism sector, has released its 2024 Economic Impact Research (EIR). This comprehensive report provides a detailed analysis of the sector’s performance and its critical role in national economies worldwide, spotlighting the impressive growth of Tanzania’s tourism industry over the past year.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kung’ara kutokana na ukomavu wake wa kisiasa, kupitia sera anazoziamini na kuzitumia kuleta mabadiliko ya kimtazamo katika kuinua uwezo wa Taifa kiuchumi kupitia falsafa ya diplomasia ya uchumi. Kupitia taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, Rais wa Msumbiji, Mh. Filioe