Naibu Waziri wa Maji, Mh. Mhandisi Kundo Mathew ameliambia Bunge jijini Dodoma kuwa, Serikali kupitia Mamlaka ya Maji na Usafi wa mazingira Arusha (AUWSA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa miundombinu ya uondoshaji majitaka wa Olmoti utakaonufaisha Kiwanda cha A to Z pamoja na wakazi 1,200 wa maeneo hayo. Naibu Waziri, Mhandisi Mathew,
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kukamilisha mradi wa maji ya Ziwa Victoria kutoka Butiama kwenda Nyamuswa – Bunda. Naibu Waziri wa Maji, Mh. Mhandisi Kundo Mathew ameyaeleza hayo Bungeni jijini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa jimbo la Bunda, Mh. Boniphace Mwita Getere, aliyeuliza
Katika hali ya kuonyesha kuridhishwa na uwezeshaji unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Chama cha wasindikaji wa mafuta ya kula ya alizeti Tanzania (TASUPA), kimesema kitendo cha Serikali kuondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa wazalishaji wa ndani, itachochea ongezeko la ulimaji wa alizeti
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwenye zahati, vituo vya afya na halmashauri mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa leo bungeni jijini Dodoma, na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mh. Zainab Katimba wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum,
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuhakikisha inafikisha huduma za afya kwa wananchi wake wa mijini na vijijini. Akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mh. Shamsia Azizi Mtamba, aliyetaka kujua ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa kituo cha afya mkunwa- Mtwara vijijini, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI,
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarisha miundombinu ya Chuo cha VETA Kitangali mwaka hadi mwaka ambapo jengo jipya la utawala lilijengwa na kukarabati baadhi ya majengo ili kupata karakana mbili za ushonaji na umeme, darasa pamoja na bweni. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha viwanda vya kuchinja, kuchana na kusindika mifugo, vyenye ubora wa kimataifa vinajengwa nchini. Maelezo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mh. Alexander P. Mnyeti bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la mbunge wa
Naibu Waziri wa Fedha Mh. Hamad Chande ameliambia Bunge kuwa, pamoja na faida za kiuchumi zinazotokana na michezo ya kubahatisha, Serikali inatambua athari hasi katika jamii endapo michezo hiyo haitaendeshwa kwa weledi. Mh. Chande ameyasema hayo alipokuwa akilitolea maelezo swali la Mh. Ng’wasi Damas Kamani aliyetaka kujua, Serikali ina mkakati gani wa kupambana na uraibu
Kasi ya upatikanaji wa vitambulisho vya nida imezidi kuongezeka kwa kiasi kikubwa kutokana na msukumo wa Serikali ya awamu ya Sita. Akijibu swali la mbunge wa Moshi Mjini, Mh. Priscus Tarimo, aliyetaka kufahamu Serikali ina mpango gani wa kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa unaokwenda taratibu sana, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
Guinea-Bissau’s President visit to Tanzania serves to indicate an intense approach towards implementation of active engagement on south-south relations. Tanzania had adopted an economic diplomacy policy as their strategic tool to guide their relarions with other countries. President Umaro Sissoco Embalo and her host President Suluhu have both embarked in pathways which signal on utilizing
Naibu Waziri wa Nishati Mh. Judith Kapinga amelieleza bunge, jijini Dodoma kuwa gharama za mradi wa kujenga kituo cha kupooza umeme kitakachojengwa Dumila kitagharimu dola za Marekani milioni 39. Maelezo hayo ameyatoa alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Kilosa, Mh. Palamagamba Kabudi aliyeuliza ni lini Serikali itajenga sub-station ya umeme katika eneo la Dumila-Kilosa. Naibu
Naibu Waziri wa kilimo Mh. David Silinde ametoa msimamo wa Serikali kuhusiana na mikakati ya Serikali kukabiliana na ongezeko la bei ya pembejeo nchini. Mh. Silinde amesema azma ya Serikali ni kuendelea kufanya jitihada za makusudi kuhamasisha kilimo chenye tija nchini kwa madhumuni ya kukuza uchumi wa nchi na kuboresha vipato vya wananchi. Akijibu swali
Serikali ya awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kujenga reli ya mwendokasi ya Mtwara hadi Mbamba bay. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mh. David Kihenzile bungeni jijini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum Mh. Jacqueline Msongezi lililokuwa linataka kujua