728 x 90



  • Rais Samia Suluhu Hassan aagiza huduma za kijamii ziboreshwe Ngorongoro.

    Rais Samia Suluhu Hassan aagiza huduma za kijamii ziboreshwe Ngorongoro.0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa watendaji wa Serikali yake kuhakikisha huduma zote za kijamii zilizositishwa zikiwemo za afya na shule katika Tarafa ya Ngorongoro Mkoani Arusha zinarudishwa na kuboreshwa haraka iwezekanvyo. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda ameagizwa kusimamia zoezi hilo la kuhakikisha

    READ MORE
  • Transforming Dar Es Salaam Port: DP World’s Impact.

    Transforming Dar Es Salaam Port: DP World’s Impact.0

    Dar Es Salaam – DP World’s involvement in transforming port operations at Dar Es Salaam has yielded remarkable results. The ongoing optimization and enhancement efforts have brought about: The strides made by DP World have been instrumental in these achievements. Under the leadership of President Samia Suluhu Hassan, the government remains dedicated to elevating Dar

    READ MORE
  • Rais Samia: Mamlaka yetu yanatoka kwa watu.

    Rais Samia: Mamlaka yetu yanatoka kwa watu.0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msisitizo kwa viongozi wa umma, kuwathamini na kuwaheshimu wananchi. Rais Dkt. Samia ameyasema hayo leo tarehe 26 Julai 2024 Ikulu jijini Dar es salaam alipokuwa akiwaapisha wateule wake wa nafasi mbalimbali kwenye Serikali yake. Rais Dkt. Samia amewataka viongozi wote wa umma

    READ MORE