728 x 90



  • Chama kuiongezea nguvu Yanga kimataifa.

    Chama kuiongezea nguvu Yanga kimataifa.0

    Usajili wa kiungo wa kimataifa wa Zambia, Clatous Chota Chama, uliotangazwa na Yanga, unatazamiwa kuiongezea nguvu Klabu hiyo kwenye michuano ya kimataifa ya klabu bingwa ya Afrika. Chama aliyemaliza mkataba na mahasimu wa Yanga, Simba, anjiunga na kikosi cha Yanga ambacho kilionyesha ubora mkubwa kwenye mashindano ya klabu bingwa barani Afrika msimu uliopita. Kwa ubora

    READ MORE
  • Hamasa ya Rais Samia yaipa Stars ushindi Zambia.

    Hamasa ya Rais Samia yaipa Stars ushindi Zambia.0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuweka historia ya kuwa Rais mwenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Kuelekea mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kucheza kombe la dunia, Rais Dkt. Samia Suluhu alitoa ahadi nono ya milioni 100 kwa wachezaji wa Taifa Stars, kama wangeshinda mchezo huo.

    READ MORE
  • Vilabu vya Ligi Kuu vibadili mitazamo juu ya makocha.

    Vilabu vya Ligi Kuu vibadili mitazamo juu ya makocha.0

    Ukijivika mabomu, usiogope kulipuka. Ni sawa na machalii wa Arusha wanavyotusisitiza tusiwe na moja kwenye mbili!! Ukishaamua kufanya uamuzi, kaa nao. Uwe mzuri au mbaya ishi nao. Kufikia nusu ya msimu ulioisha, klabu kadhaa za Ligi Kuu ya Tanzania NBC zilichukua maamuzi ya kubadili sura kwenye mabenchi yao ya ufundi. Kwa bahati mbaya huwa hatuwekewi

    READ MORE
  • Mbichi, mbivu za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024

    Mbichi, mbivu za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/20240

    Msimu wa Ligi Kuu ya soka Tanzania bara 2023/2024 umetamatika rasmi kwa Klabu ya Yanga ya Dar es salaam kutwaa ubingwa wa ligi hiyo. Katika hali nyingine isiyozoeleka, Klabu ya Azam ya jijini Dar es salaam imekamata nafasi ya pili mbele ya klabu kongwe nchini Simba S.C. Kivutio kingine msimu wa 2023/2024 kilikuwa ni Klabu

    READ MORE
  • Yanga yatwaa ubingwa wa CRDB Confederation Cup.

    Yanga yatwaa ubingwa wa CRDB Confederation Cup.0

    Mabingwa wa ligi kuu nchini Tanzania, yanga afrika, wameibwaga klabu ya azam ya jijini Dar es salaam katika fainali ya kombe la fa iliyofanyika jana Zanzibar. Fainali hiyo iliyokuwa ya kukata na shoka huku kila timu ikionyesha ubora wa hali ya juu iliamuliwa kwa matuta ya penati baada ya muda wa kawaida wa dakika tisini

    READ MORE