Record-Breaking Tourism Boom: A Testament to President Samia Suluhu's Visionary Leadership.
- ECONOMY, GEOPOLITICS, POLITICS
- July 3, 2024
Guinea-Bissau’s President visit to Tanzania serves to indicate an intense approach towards implementation of active engagement on south-south relations. Tanzania had adopted an economic diplomacy policy as their strategic tool to guide their relarions with other countries. President Umaro Sissoco Embalo and her host President Suluhu have both embarked in pathways which signal on utilizing
READ MORENaibu Waziri wa Nishati Mh. Judith Kapinga amelieleza bunge, jijini Dodoma kuwa gharama za mradi wa kujenga kituo cha kupooza umeme kitakachojengwa Dumila kitagharimu dola za Marekani milioni 39. Maelezo hayo ameyatoa alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Kilosa, Mh. Palamagamba Kabudi aliyeuliza ni lini Serikali itajenga sub-station ya umeme katika eneo la Dumila-Kilosa. Naibu
READ MORENaibu Waziri wa kilimo Mh. David Silinde ametoa msimamo wa Serikali kuhusiana na mikakati ya Serikali kukabiliana na ongezeko la bei ya pembejeo nchini. Mh. Silinde amesema azma ya Serikali ni kuendelea kufanya jitihada za makusudi kuhamasisha kilimo chenye tija nchini kwa madhumuni ya kukuza uchumi wa nchi na kuboresha vipato vya wananchi. Akijibu swali
READ MORESerikali ya awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kujenga reli ya mwendokasi ya Mtwara hadi Mbamba bay. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mh. David Kihenzile bungeni jijini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum Mh. Jacqueline Msongezi lililokuwa linataka kujua
READ MORE