728 x 90



  • Serikali yaboresha maslahi ya askari wa uhamiaji.

    Serikali yaboresha maslahi ya askari wa uhamiaji.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendeleza kasi yake ya kuboresha maslahi ya askari wa idara ya uhamiaji nchini, kama sehemu ya motisha ya kazi nzuri inayofanywa na askari wa idara hiyo muhimu kwa usalama wa nchi yetu. Kauli hiyo imetamkwa na Naibu Waziri wa Mambo ya

    READ MORE
  • Serikali yapendekeza tozo kwenye mafuta ghafi ya alizeti.

    Serikali yapendekeza tozo kwenye mafuta ghafi ya alizeti.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imependekeza kuweka tozo ya asilimia 10 kwenye mafuta ghafi ya kula ya alizeti na mashudu yanayotokana na mbegu za alizeti pamoja na mbegu za alizeti zinazosafirishwa kwenda nje ya Jamhuri ya Muungano. Lengo la mapendekezo haya ni kuhakikisha malighafi hizo zinapatikana kwa wingi nchini ili kuzalisha mafuta ya

    READ MORE
  • Serikali yatatua mgogoro kati ya hifadhi na vijiji jirani – Wanging’ombe.

    Serikali yatatua mgogoro kati ya hifadhi na vijiji jirani – Wanging’ombe.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kumaliza mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Mpanga Kipengele na Vijiji vya Luduga, Mpanga, Malingali na Wangamiko. Hayo yamesemwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dunstan Kitandula, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Mh. Neema William Mgaya, aliyeuliza ni

    READ MORE