728 x 90



  • Sekali ya mseto yanukia Afrika Kusini.

    Sekali ya mseto yanukia Afrika Kusini.0

    Kwa mara ya kwanza tokea ipate uhuru wake, nchi ya Afrika kusini imeshindwa kupata mshindi wa moja kwa moja kwenye uchaguzi wa serikali kuu na serikali za majimbo. Chama tawala cha ANC kinachoongozwa na rais Ramaphosa kimepoteza viti vingi vya ubunge ambavyo vimenyakuliwa na vyama vya upinzani vya Democratic Aliance, uMkhonto we Sizwe na Economic

    READ MORE
  • Rais Samia anavyotumia Diplomasia ya Uchumi kukuza uchumi wa Tanzania.

    Rais Samia anavyotumia Diplomasia ya Uchumi kukuza uchumi wa Tanzania.0

    Nadharia za uongozi na falsafa za kiutawala duniani kote zinaangazia zaidi kutafuta majibu ya changamoto zinazowakabili raia, lakini zaidi kufungua fursa mbalimbali za nyanja tofauti tofauti kwa watu. Moja kati ya nguzo muhimu za utawala wa kiinchi, duniani kote ni pamoja na mashirikiano na nchi nyingine na washirika mbalimbali wasiobeba sifa za kiinchi kama mashirika

    READ MORE