Record-Breaking Tourism Boom: A Testament to President Samia Suluhu's Visionary Leadership.
- ECONOMY, GEOPOLITICS, POLITICS
- July 3, 2024
Wanaharakati na asasi za kuwatetea watu walioathirika kwa kupigwa kutokana na kuvamia mgodi wa Nyamongo wametupiwa lawama na waathirika hao kwa kujinufaisha wenyewe kupitia maswaibu ya waathirika kwa kujipatia kiasi kikubwa cha fidia inayotolewa na mgodi ikilinganishwa na kiasi wanachopata waathirika. Mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa kwa ubia kati ya kampuni ya Barrick
READ MOREThe World Travel & Tourism Council (WTTC), a global authority representing the travel and tourism sector, has released its 2024 Economic Impact Research (EIR). This comprehensive report provides a detailed analysis of the sector’s performance and its critical role in national economies worldwide, spotlighting the impressive growth of Tanzania’s tourism industry over the past year.
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kung’ara kutokana na ukomavu wake wa kisiasa, kupitia sera anazoziamini na kuzitumia kuleta mabadiliko ya kimtazamo katika kuinua uwezo wa Taifa kiuchumi kupitia falsafa ya diplomasia ya uchumi. Kupitia taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, Rais wa Msumbiji, Mh. Filioe
READ MORESerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendeleza kasi yake ya kuboresha maslahi ya askari wa idara ya uhamiaji nchini, kama sehemu ya motisha ya kazi nzuri inayofanywa na askari wa idara hiyo muhimu kwa usalama wa nchi yetu. Kauli hiyo imetamkwa na Naibu Waziri wa Mambo ya
READ MOREGuinea-Bissau’s President visit to Tanzania serves to indicate an intense approach towards implementation of active engagement on south-south relations. Tanzania had adopted an economic diplomacy policy as their strategic tool to guide their relarions with other countries. President Umaro Sissoco Embalo and her host President Suluhu have both embarked in pathways which signal on utilizing
READ MORETaarifa iliyotolewa mchana wa leo na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu juu ya ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhudhuria uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mh. Cyril Ramaphosa, utakaofanyika tarehe 19 Juni 2024, inatajwa kama sehemu ya kudumisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili. Historia ya mahusiano kati ya Tanzania na
READ MORE