Hakuna nchi katika historia ya ulimwengu iliyowahi ama kujitegemea au kujitosheleza kwa mahitaji yake. Hivyo, nyenzo ya ushirikiano ni muhimu kwa mataifa yote ili kuhakikisha mahitaji ya msingi ya watu wake yanatimizwa hata ikibidi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana nje ya nchi husika. Mkakati mkubwa wa Tanzania katika kutimiza malengo iliyojiwekea ni diplomasia ya uchumi. Mkakati
READ MORENaibu Waziri wa Kilimo, Mh. David Silinde ameyasema hayo alipokuwa anajibu swali lililoulizwa na mbunge wa jimbo la Mbozi aliyeuliza ni lini Serikali itawachukulia hatua viongozi wa vyama vya msingi waliodhulumu fedha za wakulima wa kahawa Mbozi. Mh. Silinde amelieleza Bunge kuwa, tayari Serikali imeshafanya uchunguzi kwa vyama vya ushirika 20 vilivyopo wilayani Mbozi ambapo
READ MORESerikali kupitia mapendekezo ya Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 inakusudia kuanzisha Tozo ya Maendeleo ya Viwanda kwa baadhi ya bidhaa zinzoingizwa nchini. Hatua hii itatumika kama mbinu ya ziada ya kuvilinda viwanda vya ndani dhidi ya ushindani usio sawa wa bidhaa zinazotoka nje na kwa jinsi hiyo kuchochea mauzo ya nje ya nchi. Serikali
READ MORE