728 x 90



  • Serikali ya Rais Samia yaongeza kasi ununuzi wa vifaa tiba.

    Serikali ya Rais Samia yaongeza kasi ununuzi wa vifaa tiba.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwenye zahati, vituo vya afya na halmashauri mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa leo bungeni jijini Dodoma, na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mh. Zainab Katimba wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum,

    READ MORE
  • Serikali yakamilisha ujenzi wa kituo cha Mtwara vijijini.

    Serikali yakamilisha ujenzi wa kituo cha Mtwara vijijini.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuhakikisha inafikisha huduma za afya kwa wananchi wake wa mijini na vijijini. Akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mh. Shamsia Azizi Mtamba, aliyetaka kujua ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa kituo cha afya mkunwa- Mtwara vijijini, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI,

    READ MORE
  • Serikali kujenga Karakana na Mabweni Kitangali.

    Serikali kujenga Karakana na Mabweni Kitangali.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarisha miundombinu ya Chuo cha VETA Kitangali mwaka hadi mwaka ambapo jengo jipya la utawala lilijengwa na kukarabati baadhi ya majengo ili kupata karakana mbili za ushonaji na umeme, darasa pamoja na bweni. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia

    READ MORE