728 x 90



  • Serikali kukamilisha mradi wa majitaka Arusha.

    Serikali kukamilisha mradi wa majitaka Arusha.0

    Naibu Waziri wa Maji, Mh. Mhandisi Kundo Mathew ameliambia Bunge jijini Dodoma kuwa, Serikali kupitia Mamlaka ya Maji na Usafi wa mazingira Arusha (AUWSA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa miundombinu ya uondoshaji majitaka wa Olmoti utakaonufaisha Kiwanda cha A to Z pamoja na wakazi 1,200 wa maeneo hayo. Naibu Waziri, Mhandisi Mathew,

    READ MORE
  • Serikali kutekeleza mradi wa maji Ziwa Victoria kutoka Butiama hadi Bunda.

    Serikali kutekeleza mradi wa maji Ziwa Victoria kutoka Butiama hadi Bunda.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kukamilisha mradi wa maji ya Ziwa Victoria kutoka Butiama kwenda Nyamuswa – Bunda. Naibu Waziri wa Maji, Mh. Mhandisi Kundo Mathew ameyaeleza hayo Bungeni jijini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa jimbo la Bunda, Mh. Boniphace Mwita Getere, aliyeuliza

    READ MORE
  • Wazalishaji wa mafuta waipongeza serikali ya Rais Samia kuondoa VAT.

    Wazalishaji wa mafuta waipongeza serikali ya Rais Samia kuondoa VAT.0

    Katika hali ya kuonyesha kuridhishwa na uwezeshaji unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Chama cha wasindikaji wa mafuta ya kula ya alizeti Tanzania (TASUPA), kimesema kitendo cha Serikali kuondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa wazalishaji wa ndani, itachochea ongezeko la ulimaji wa alizeti

    READ MORE