𝗧𝗵𝗲 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮'𝘀 𝗖𝗮𝘀𝗵𝗲𝘄 𝗕𝗼𝗼𝗺, 𝗔 𝗡𝘂𝘁𝘁𝘆 𝗧𝗮𝗹𝗲 𝗼𝗳 𝗚𝗿𝗼𝘄𝘁𝗵 𝗮𝗻𝗱 𝗢𝗽𝗽𝗼𝗿𝘁𝘂𝗻𝗶𝘁𝘆
- DEVELOPMENT, ECONOMY
- July 4, 2024
Hakuna nchi katika historia ya ulimwengu iliyowahi ama kujitegemea au kujitosheleza kwa mahitaji yake. Hivyo, nyenzo ya ushirikiano ni muhimu kwa mataifa yote ili kuhakikisha mahitaji ya msingi ya watu wake yanatimizwa hata ikibidi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana nje ya nchi husika. Mkakati mkubwa wa Tanzania katika kutimiza malengo iliyojiwekea ni diplomasia ya uchumi. Mkakati
READ MOREThe Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Kassim Majaliwa, announced that in the fiscal year 2024/2025, the Government has allocated TZS 787 billion for loans to 250,000 students, including 80,000 new undergraduate students. He made this statement on Friday, June 28, 2024, in Parliament in Dodoma while delivering a speech to adjourn the
READ MORESerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuwainua wanawake nchini kwa kudhamiria kutoa mashine za kubangua korosho kwa vikundi vya wanawake, ili kuwainua kiuchumi kwa kuwawezesha kuongeza thamani ya bidhaa zao. Kauli hiyo imetamkwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Kilimo, Mh. David Silinde alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Mh.
READ MORENaibu Waziri wa Kilimo, Mh. David Silinde ameyasema hayo alipokuwa anajibu swali lililoulizwa na mbunge wa jimbo la Mbozi aliyeuliza ni lini Serikali itawachukulia hatua viongozi wa vyama vya msingi waliodhulumu fedha za wakulima wa kahawa Mbozi. Mh. Silinde amelieleza Bunge kuwa, tayari Serikali imeshafanya uchunguzi kwa vyama vya ushirika 20 vilivyopo wilayani Mbozi ambapo
READ MORESerikali kupitia mapendekezo ya Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 inakusudia kuanzisha Tozo ya Maendeleo ya Viwanda kwa baadhi ya bidhaa zinzoingizwa nchini. Hatua hii itatumika kama mbinu ya ziada ya kuvilinda viwanda vya ndani dhidi ya ushindani usio sawa wa bidhaa zinazotoka nje na kwa jinsi hiyo kuchochea mauzo ya nje ya nchi. Serikali
READ MORESerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imependekeza kuweka tozo ya asilimia 10 kwenye mafuta ghafi ya kula ya alizeti na mashudu yanayotokana na mbegu za alizeti pamoja na mbegu za alizeti zinazosafirishwa kwenda nje ya Jamhuri ya Muungano. Lengo la mapendekezo haya ni kuhakikisha malighafi hizo zinapatikana kwa wingi nchini ili kuzalisha mafuta ya
READ MORE