𝗧𝗵𝗲 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮'𝘀 𝗖𝗮𝘀𝗵𝗲𝘄 𝗕𝗼𝗼𝗺, 𝗔 𝗡𝘂𝘁𝘁𝘆 𝗧𝗮𝗹𝗲 𝗼𝗳 𝗚𝗿𝗼𝘄𝘁𝗵 𝗮𝗻𝗱 𝗢𝗽𝗽𝗼𝗿𝘁𝘂𝗻𝗶𝘁𝘆
- DEVELOPMENT, ECONOMY
- July 4, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehakikisha kipaumbele cha ukuzaji wa uchumi na kupunguza umasikini wa kipato kwa kaya duni, kinaendelea kuwa msingi mkuu wa uongozi wake, katika kuinua hali ya wananchi masikini nchini. Rais Dkt. Samia ameendelea kuusimamia kikamilifu Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuinua ubora wa
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza uwajibikaji na ushirikiano baina ya viongozi wa ngazi mbalimbali Serikalini ili kuboresha utendaji na kuwa na matokeo mazuri katika kuwahudumia wananchi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyasema hayo visiwani Zanzibar, kwenye Ikulu ndogo ya Tunguu, alipokuwa akiapisha viongozi aliowateua karibuni. Azma ya
READ MOREAziz Rashid. Tanzania, known for its breathtaking landscapes and diverse agriculture, has quietly become a major player in the global cashew game. The crop is proving to be a powerful driver of the nation’s economy, offering a promising path forward for both farmers and the country itself. 𝗔 𝗗𝗲𝗰𝗮𝗱𝗲 𝗼𝗳 𝗦𝘁𝗲𝗮𝗱𝘆 𝗛𝗮𝗿𝘃𝗲𝘀𝘁 Over the past
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kung’ara kutokana na ukomavu wake wa kisiasa, kupitia sera anazoziamini na kuzitumia kuleta mabadiliko ya kimtazamo katika kuinua uwezo wa Taifa kiuchumi kupitia falsafa ya diplomasia ya uchumi. Kupitia taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, Rais wa Msumbiji, Mh. Filioe
READ MOREUjio wa Rais wa Msumbiji Mh. Felipe Jacinto Nyusi hapa nchini ni kiashiria kingine cha ufanisi wa mpango kazi wa Tanzania katika kushirikiana na mataifa mengine kisiasa, kiuchumi, kijamii na nyanja nyingine mbalimbali zenye tija na maslahi kwa Taifa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea na kasi yake
READ MOREWatumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, wamemshukuru na kumpongeza Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapandisha madaraja kila baada ya miaka 4 kwa waajiriwa wapya na kwa kila baada ya miaka mitatu kwa walioko kazini. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na mwandishi wa Habari hizi na kupitia grupu la
READ MORE