𝗧𝗵𝗲 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮'𝘀 𝗖𝗮𝘀𝗵𝗲𝘄 𝗕𝗼𝗼𝗺, 𝗔 𝗡𝘂𝘁𝘁𝘆 𝗧𝗮𝗹𝗲 𝗼𝗳 𝗚𝗿𝗼𝘄𝘁𝗵 𝗮𝗻𝗱 𝗢𝗽𝗽𝗼𝗿𝘁𝘂𝗻𝗶𝘁𝘆
- DEVELOPMENT, ECONOMY
- July 4, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Chuo cha Veta Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Uwekaji wa jiwe la msingi katika chuo hicho ni alama ya ushindi kwa vijana wa Tanzania, unaotoa tumaini jipya la ukombozi wa
READ MOREUbora wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan unadhihirishwa na matokeo ya wazi ya mabadilliko anayoyafanya, katika jitihada za kuboresha maisha ya watanzania. Kupitia ziara yake mkoani Katavi, imefahamika kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza tokea nchi ya Tanzania ipate uhuru, kufikisha
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiongoza Serikali yake ya awamu ya Sita, kufanya mageuzi makubwa kwa sekta ya mifugo, na kuifanya sekta hiyo kuwa na tija kubwa kwa ustawi wa Taifa kupitia ukuaji wa mchango wake kwa pato la Taifa. Hamasa iliyotolewa na Rais Dkt. Samia imehusisha kutoa
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Katavi kuanzia tarehe 12 mpaka 15 ya mwezi huu wa 7. Ziara hiyo iliyotangazwa na Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu, itaangazia mambo mbalimbali ikiwemo ukaguzi wa miradi mbalimbali ambayo Serikali ya awamu ya Sita (6) imeitolea mafungu
READ MORETanzania Shores Up Foreign Exchange Reserves as Economic Outlook Brightens A recent statement by the Bank of Tanzania (BoT) brought a wave of optimism, highlighting the strengthening of the country’s foreign exchange reserves. Surpassing $5 billion at the end of June 2024, these reserves mark a significant improvement and provide a buffer exceeding four months
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama kinara wa mabadiliko chanya kwa jamii ya watu wanaohesabika kuwa katika makundi maalum. Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuimarisha huduma za ustawi wa jamii kwa makundi maalumu. Hadi kufikia mwezi Machi, 2024, Serikali ya awamu ya Sita chini ya
READ MORE