Understanding the reasons behind the resettlement of Ngorongoro residents from the reserve.
- Uncategorized
- July 20, 2024
President Samia emphasized that citizens must not export maize without permits from the Ministry of Agriculture and following other required procedures, as it negatively impacts the economy and market trade. She made these remarks during the inauguration of modern silos and warehouses of the National Food Reserve Agency (NFRA) in Kanondo, Rukwa Region, as part
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Chuo cha Veta Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Uwekaji wa jiwe la msingi katika chuo hicho ni alama ya ushindi kwa vijana wa Tanzania, unaotoa tumaini jipya la ukombozi wa
READ MOREUbora wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan unadhihirishwa na matokeo ya wazi ya mabadilliko anayoyafanya, katika jitihada za kuboresha maisha ya watanzania. Kupitia ziara yake mkoani Katavi, imefahamika kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza tokea nchi ya Tanzania ipate uhuru, kufikisha
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiongoza Serikali yake ya awamu ya Sita, kufanya mageuzi makubwa kwa sekta ya mifugo, na kuifanya sekta hiyo kuwa na tija kubwa kwa ustawi wa Taifa kupitia ukuaji wa mchango wake kwa pato la Taifa. Hamasa iliyotolewa na Rais Dkt. Samia imehusisha kutoa
READ MORE