728 x 90



Author's Posts

  • Ujenzi wa Barabara ya Mwendokasi Awamu ya Nne Unaendelea Vizuri.

    Ujenzi wa Barabara ya Mwendokasi Awamu ya Nne Unaendelea Vizuri.0

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) – Mwenge – Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5. Pia, ujenzi wa miundombinu ya Mabasi hayo

    READ MORE
  • Vimebaki vijiji 151 tu kupata umeme nchini.

    Vimebaki vijiji 151 tu kupata umeme nchini.0

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameeleza kuwa kuwa kati ya vijiji 12,000 nchi nzima, ni vijiji 151 tu ambavyo bado havijaunganishwa na huduma ya umeme. Kupitia ziara yake mkoani Njombe ya kukagua miradi ya nishati pamoja na kasi ya usambazaji wa umeme katika vijiji vya Lubonde na Maweni, Mhe. Kapinga amesema lengo la

    READ MORE