728 x 90



Author's Posts

  • Government Allocates TZS 787 Billion for Student Loans in 2024/2025.

    Government Allocates TZS 787 Billion for Student Loans in 2024/2025.0

    The Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Kassim Majaliwa, announced that in the fiscal year 2024/2025, the Government has allocated TZS 787 billion for loans to 250,000 students, including 80,000 new undergraduate students. He made this statement on Friday, June 28, 2024, in Parliament in Dodoma while delivering a speech to adjourn the

    READ MORE
  • Serikali kuwainua wanawake kwa kuwapa mashine za kubangua korosho.

    Serikali kuwainua wanawake kwa kuwapa mashine za kubangua korosho.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuwainua wanawake nchini kwa kudhamiria kutoa mashine za kubangua korosho kwa vikundi vya wanawake, ili kuwainua kiuchumi kwa kuwawezesha kuongeza thamani ya bidhaa zao. Kauli hiyo imetamkwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Kilimo, Mh. David Silinde alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Mh.

    READ MORE
  • Serikali kuwachukulia hatua wabadhilifu wa vyama vya ushirikia.

    Serikali kuwachukulia hatua wabadhilifu wa vyama vya ushirikia.0

    Naibu Waziri wa Kilimo, Mh. David Silinde ameyasema hayo alipokuwa anajibu swali lililoulizwa na mbunge wa jimbo la Mbozi aliyeuliza ni lini Serikali itawachukulia hatua viongozi wa vyama vya msingi waliodhulumu fedha za wakulima wa kahawa Mbozi. Mh. Silinde amelieleza Bunge kuwa, tayari Serikali imeshafanya uchunguzi kwa vyama vya ushirika 20 vilivyopo wilayani Mbozi ambapo

    READ MORE
  • Serikali yaboresha maslahi ya askari wa uhamiaji.

    Serikali yaboresha maslahi ya askari wa uhamiaji.0

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendeleza kasi yake ya kuboresha maslahi ya askari wa idara ya uhamiaji nchini, kama sehemu ya motisha ya kazi nzuri inayofanywa na askari wa idara hiyo muhimu kwa usalama wa nchi yetu. Kauli hiyo imetamkwa na Naibu Waziri wa Mambo ya

    READ MORE

Latest Posts